Posts

tanza

Image
 Live all people watching and listenig

YANGA YAPOKEA KICHAPO KUTOKA KWA AL HILAL

Image
  Yanga imefungwa magoli mawili na timu ya Al Hilal ya Sudani. Muktadha wa Mchezo Katika mchezo wa awali kati ya Yanga SC na Al Hilal, timu hizi zilipambana katika mchezo wa Kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika mechi hiyo, Yanga imefungwa jumla ya mabao 2-0. Mchezo huo umefanyika katika uwanja wa Benjamin mkapa, ambapo Yanga imefungwa 2-0. Maelezo Zaidi Al Hilal, ambayo ni moja ya timu kubwa nchini Sudan, imeonyesha uwezo wake katika mchezo huo, ikitumia fursa zake vyema na kuweza kupata ushindi dhidi ya Yanga. Ushindi huu uliongeza rekodi nzuri kwa Al Hilal dhidi ya Yanga katika mashindano haya. Hii ni historia muhimu kwa klabu hizo mbili, kwani inadhihirisha changamoto ambazo Yanga wamekuwa wakikabiliana nazo katika mashindano makubwa kama haya. Kwa upande mwingine, Al Hilal imekuwa na mafanikio zaidi katika Ligi za Kimataifa, jambo ambalo limewapa faida katika mechi zao dhidi ya wapinzani mbalimbali. Kwa hivyo,  Yanga imefungwa magoli mawili na timu ya Al...

WHAT IS INTERVIE, THINGS TO CONCIDER BEFORE AND DURIND INTERVIEW

An interview is a formal conversation between two or more people where one person, typically the interviewer, asks questions and the other person, the interviewee, responds. The purpose of an interview is to gather information, assess qualifications, explore a topic in depth, or make decisions. Interviews can take place in various settings, such as job interviews, journalism interviews, research interviews, or celebrity interviews. In a job interview, for example, a candidate is usually asked a series of questions related to their work experience, skills, and qualifications to determine if they are a good fit for the position. The interviewer may also inquire about the candidate's strengths, weaknesses, and how they handle challenges. The candidate's answers provide insight into their personality, work ethic, and potential contribution to the organization. Overall, an interview is a structured way to exchange information and gain insights into a person's thoughts, experienc...

USHINDE WA TANZANIA DHIDI YA GUINEA

Image
  Ushindi wa Tanzania Dhidi ya Guinea Muhtasari wa Mechi Katika mechi iliyochezwa jana, timu ya taifa ya Tanzania ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli moja dhidi ya Guinea katika mchezo wa kuwania kufuzu afconi kule morroco 2025. Ushindi huu ni muhimu kwa sababu unadhihirisha maendeleo ya soka la Tanzania na uwezo wa wachezaji wake kushindana na timu zenye uzoefu mkubwa kama Guinea. Mwelekeo wa Mchezo Tanzania ilianza mchezo kwa nguvu, ikionyesha mbinu nzuri za uchezaji na umoja kati ya wachezaji. Katika kipindi cha kwanza, walitengeneza nafasi kadhaa za kufunga, lakini walikosa kutumia vizuri fursa hizo. Hata hivyo, juhudi zao zilizaa matunda katika kipindi cha pili ambapo mchezaji simoni msuva alifunga bao la kwanza msuva alionesha ukomavu na kiwango bora. Ushindi na Maana Yake Ushindi huu unakuja wakati muafaka kwa timu ya Tanzania ambayo inajitahidi kujijenga kuelekea mashindano makubwa yajayo ya Afcon. Ni ushindi unaowapa motisha wachezaji na benchi la ufundi kuendelea kufan...

SAFARI NA VIKWAZO

Image
Safari ni hali ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa madhumuni ya kutimiza au kufanya Jambo Fulani.       Siku moja nilisafiri kutoka iringa Hadi dar es salaam Safari ilianza saa moja na nusu asubuhi siku hiyo wasafiri walikuwa wengi Sana kiasi kwamba waliochelewa kukata mapema tiketi walikosa usafiri mi nilipo panda tu kwenye Basi nikaona nijichukue kaklipu kidogo "Mana picha ni kumbukumbu yenye kubeba uhalisia mwingi" nilichikua video hii hapa👇 Baada ya kukaa kwenye siti Safari ikaanza tukatoka iringa salama tukapita maeneo hatarishi yote ile tunakaribia kuimaliza iringa tuingie morogoro gari likaharibika ulikuwa no mida ya saa nne asubuhi tukapaki tukiwa ndani ya gari wakaendelea kutengeneza  ambapo walitumia masaa matatu baada ya hapo dereva akaliwasha ili apite aingie morogoro aseme gari liliharibikia morogoro ili aweze kufuta ushahidi Mana mbele walikuwepo matrafic alifanya hivyo Ila abiria walikuwa wakali mpaka wakaenda kuwaita matrafic ndipo ...

Subscribe my channel

Image
Is specialize in movie analysis don't miss to subscribe. It will help you to understand movie before and after watching  

Wapishi wa nyama nahitaji hayo hapo

  Nyama steki kilo 1 Viungo vya kulainishia nyama Paprika kijiko 1 cha chai Bizari nyembamba ½ kijiko cha chai Nutmeg ½ kijiko cha chai Giligilani ½ kijiko cha chai Mafuta vijiko 2 vya chakula Garam masala ½ kijiko cha chai Iliki ½ kijiko cha chai Pilipili ndefu 1 Limao ½ Kitunguu saumu 1, kimenywe na kupondwa Mahitaji ya kupikia nyama Tangawizi kiasi Curry powder kiasi Bizari kiasi Giligilani nusu kijiko  cha chai Vitunguu saumu 2 Karoti 1 Pilipili hoho 1 Nyanya maji 4, ziwe zimeiva vizuri Garam masala ½ kijiko cha chai Chumvi ½ kijiko cha chai

Join to get money easly

  https://m.smart--retail.com/ht/Download0.html?channel=FR901&invitorCode=12231309&d=1 We are a professional vending machine service company engaged in terminal retail business. We have been authorized by ALDI and Kaufland in Germany for a long time. Please join us and have your own vending machine to earn high profits.

ANDREW TATE MFAHAMU ZAIDI

Image
   ANDREW TATE ni mpiganaji mstaafu wa kickboxer, mfanya biashara. Alizaliwa 1/12/1986 Ana utaifa wa nchi mbili ambazo ni marekani  na uingereza shughuli anazozifanya ni kuendesha vipindi vya televisheni, pamoja na masuala ya upiganaji wa kick boxer baba take anaitwa Emori tate.                                 KARIA YAKE KWENYE SANAA   YA UPIGANAJI :Ana urefu wa futi 6 na nch 3 :Ana kilo 93 :Aina ya upiganaji anaotumia ni Orthodox :Timu anayoitumikia inaitwa storm GYM                                   REKODI ANAZOSHIKILIA :Jumla ya napambani aliyopigana ni 85 :Huku alishinda mapambano 76 :Mapambano 23 alishinda kwa knock out :Huku akipoteza mapambano 9 tu                                REKODI YA MAPIGANO MCHANGANYIKO :Ame...

ROBOTI WA KIKE ANATISHIA UWEPO WA MAHUSIANO YA KIMAPENZI

Image
 Teknolojia inazidi kwenda Kasi Sana binadamu anazidi kugundua vitu vya kustaajabisha vingine unaweza ukasema ni vizuri na kwa upande mwingine unaweza ukasema ni vibaya. Jambo ambalo linawashtua wengi Sana ni kugunduliwa kwa roboti wa kike(mwanamke) ambapo atakuwa na sifa Kama za mwanamke zote baadhi ya sifa hizo ni kufanya mapenzi na mwanaume, kuwa na siku zake, kufanya kazi za nyumbani,  Roboti huyo anayetumia nishati ya umeme yaani chaji inayotokana na umeme wa kawaida pamoja na nishati ya jua. Watu wamekuwa na maoni mbalimbali kuhusu teknolojia hii. IDADI ya watu wengi wanasema teknolojia hiyo haifai kwani inakuja kupunguza thamani ya mwanamke endapo teknolojia hiyo itasambazwa utafanya baadhi ya watu wasioe kwa sababu ya roboti huyo amabaye anaonekana kuwa na sifa zinazokaribiana KUFANANA na za mwanamke. Wapo baadhi ya watu wachache wanaotetea kuwa teknolojia hiyo ni nzuri. Kundi hili linajumuisha Sana vijana ambao hawajaoa ambapo wanaona kuwa roboti huyo anaweza akaondoa...

HISTORIA NA WASIFU WA RONALDO

Image
ronaldo. Kwa majina kamili anaitwa cristano Ronaldo dos Santos Aveiro ni mchezaji wa kimataifa wa ureno alizaliwa tarehe 5 mwezi wa pili 1985. Mi moja ya wachezaji Bora wachezaji Bora wa muda wote kulingana na rekodi za FIFA amechukua balon dior tano, kiatu Cha dhahabu Cha mchezaji Bora wa ulaya Mara nne, amechukua jumla ya mataji 32 ikijumuisha mataji Saba ya ligi pamoja na mataji matano ya klabu bingwa ulaya.                      TAKWIMU ZA RONALDO KWA NJIA YA JEDUWALI Cup                                   TAARIFA BINAFSI :Jina kamili  Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro :Tarehe ya kuzaliwa 5/2/1985 (miaka 38 kwa sasa) :Mahali alipozaliwa Funchal, Madeira, ureno :Urefu 1.87 m (6 ft 2 in) :Nafasi mshambuliaji :Timu anayoichezea kwa Sasa Al Nassr Number 7 :Karia yake kwenye mpira wa miguu 1992–1995 Andorinha 1995–1997 Nacional 1997–2002 Sportin...

STORM SHADOW CRUISE FAHAMU KUHUSU BOMU HILI

Image
  Bomu hili lilianza kutengenezwa mwaka 1994 ndipo uvumbuzi wake ulianza ni moja ya mabomu yenye uwezo wa kiaina yake likiwa limetengenezwa huko uingereza. 

YOUNG AFRICA VS MARUMO GALLANTS

Image
  Je unafikiri yanga wanaweza  kutoka pale kwa madiba kiurahisi na kutimba fainali kibabe ?  Fikiria hizi zinakuja vichwani mwa watu kutokana na yanga kushinda goli mbili kwenye uwanja wa nyumbani. Kwa kiwango walichokionesha marumo GALLANTS nadhani yanga bado Wana wakati mgumu Sana kutimba fainali. Karibu kuacha uchambuzi wako hapo kwenye komenti afu tusubirie dakika tisini.

HISTORIA YA MESSI

Image
Jina lake kamili anaitwa Lionel Andreas Messi ni mchezaji wa kimataifa wa argentina alizaliwa June 24 1987 huko Rosalia argentina ni mchezaji anayeshikilia rekodi ya kubeba ballon Dior 7 ambapo ballon Dior ya kwanza alichukua mnamo 2009, 2012, 2015, 2019 na 2021 mnamo mwaka 2022 alikisaidia kikosi Cha agentina kuchukua kombe la dunia ambapo alihusika moja kwa moja kwa kufunga goli MAISHA YA AWALI Messi alianza kucheza mpira akiwa ni kijana mdogo Sana mwaka 1995 Newell's old boys kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuichezea mpira vilabu mbalimbali vilitaka kumsajili kijana huyo ambapo familia yake iliona mahali sahihi kwa kijana wao kucheza mpira ni pale uhispania katika club ya Barcelona ambapo alikuwa akicheza katika timu ya vijana wadogo amabapo alifunga magoli 21 katika michezo 14 ambapo uwezo wake huo ulimfanya achaguliwe kuchezea katiaka kikosi Cha kwanza Cha Barcalona akiwa na umri wa miaka 16 tu. UCHEZAJI WAKE NDANI YA CLUB mwaka 2004 mpaka 2005 alichezea katika timu ya vijana...

MWANAMKE ANAEYEDAIWA KUBAKWA NA TRUMPU AANZA KUTOA USHAHIDI

Image
  Raisi wa awamu iliyopita wa marekani Donald Trumpu anaendelea kukabiliwa na mashtaka mbalimbali mojawapo ya mashtaka yanayo mkabili ni pamoja na Hili la suala la ubakaji. Mwanamke E. Jean Carroll   siku ya jumatano alifika katika mahakama ya  New York akiwa anapeleka mashtaka katika mahakama hiyo ambapo anadai kuwa aliye kuwa raisi wa marekani Donald Trump alimbaka mwanamke huyo miongo mitatu iliyopita  katika chumba Cha kubadilishia nguo.  E. Jean Carroll anasema alibakwa na Donald Trump mnamo mwaka 1996. Alipofika katika mahakama alisema maneno haya kwa kumnukuu alisema hivi " nimefika hapa kwa sababu Donald Trump alinibaka. Na nilipoandika mashtaka kwa Mara ya kwanza alikataa na kusema ni uongo. Amedanganya na ameharibu heshima yangu nipo hapa kwaajili ya kuirudisha heshima nilipoteza" alisema mwanamke huyo. 

NJIA ZA KUONDOA UMASIKINI

  KUONDOA umasikini kwa njia ya kutoa elimu Bora.  Elimu ndio njia kuu ya kuondoa umasikini kwani humpatia mtu njia au mikakati maalumu ya kuongeza kipato kwa kufanyaa biashara na kuendesha miundombinu mbalimbali. 2.ujasiriamali.  kufanyaa biashara ndogo ndogo kulingana na mazingira ambayo mtu anaishi mfano kufuga wanyama Kama kuku, samaki na ng' ombe wa kisasa. 3. Kuunda vikundi maalumu vya mzunguko wa fedha mfano vikoba.   Vikundi hivi vinaweza vikawa vya watu watano na kuendelea juu ambavyo vinaovyoendeshwa kwa kuwapa mikopo wanakundi au wajasiriamali. 4. Kuhifadhi robo ya kipato unachopata (akiba).  Akiba no suala muhimu sana kwenye Manisha ya mwanadamu kwani humuokoa mtu wakati wa shida. Kiasi Cha fedha utakachopata chukua robo yake au thelithi na uiweke Kama akiba. 5. Kilimo Bora na Cha kisasa.   Kilimo kinachozingatia matumizi Bora ya pembe jeo na viwatilifu mfano mbolea ambazo zimethibitishwa 6. Kuondoa utegemezi.  Kuondoa utegemezi k...

LIONEL MESSI

Image
    Leonel Messi ni mchezaji wa kimataifa wa timu ya Argentina  alizaliwa mnamo June, 24,1987 kwa Sasa ni mchezaji wa PSG ya ujerumani akiwa ametimiza miaka 35. MSHAHARA ANAOPOKEA MESSI Messi ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa fedha nyingi sana. Kulingana na takwimu zinaonesha Messi analipwa 41 million USD ambazo ukizibadilisha kwenye hela ya kiTanzania unapata Sh96,104,000,000.00 kwa mwaka  IDADI YA MAGOLI ALOFUNGA MESSI MPAKA SASA Messi akiwa Barcelona akifunga magoli 672 Akiwa PSG magoli 30 Argentina 102 Jumla 804

SIMBA YAIFUNGA IHEFU

Image
    Timu ya Simba Jana tarehe  7 imeifunga timu ya Ihefu kutoka kule mbarali mbeya ambaopo Simba iliifunga Ihefu magoli manner kwa moja(Simba 4- Ihefu 1).          Simba iliutawala mchezo katika kipindi Cha kwanza mpaka kufikia dakika 45 za kwanza Simba ili kuwa imeshafunga magoli yote manne na kuibuka kidedea katika kipindi Cha kwanza tu.          Magoli ya Simba yamefungwa na Baleke huku la nne likiwekwa kimiani na Saido Ntibazokiza, ambapo Baleke akifunga hatriki na kupewa mpira.        Kwa taarifa zaidi fuata linki hii   Ali sadick dachi get money here  ambapo utapata taarifa zote muhimu za michezo. Pia kwa wale wanaohitaji kujiunga kwenye timu yangu ya kujipatia less mtandaoni ukijisajili tu unalipwa 800 hapohapo fuata linki hii na ujisajili haraka nafasi ni chache https://m.smart--retail.com/ht/Download0.html?channel=FR901&invitorCode=12231309&d=1   Timu ya Simba J...