SAFARI NA VIKWAZO
Safari ni hali ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa madhumuni ya kutimiza au kufanya Jambo Fulani. Siku moja nilisafiri kutoka iringa Hadi dar es salaam Safari ilianza saa moja na nusu asubuhi siku hiyo wasafiri walikuwa wengi Sana kiasi kwamba waliochelewa kukata mapema tiketi walikosa usafiri mi nilipo panda tu kwenye Basi nikaona nijichukue kaklipu kidogo "Mana picha ni kumbukumbu yenye kubeba uhalisia mwingi" nilichikua video hii hapa👇 Baada ya kukaa kwenye siti Safari ikaanza tukatoka iringa salama tukapita maeneo hatarishi yote ile tunakaribia kuimaliza iringa tuingie morogoro gari likaharibika ulikuwa no mida ya saa nne asubuhi tukapaki tukiwa ndani ya gari wakaendelea kutengeneza ambapo walitumia masaa matatu baada ya hapo dereva akaliwasha ili apite aingie morogoro aseme gari liliharibikia morogoro ili aweze kufuta ushahidi Mana mbele walikuwepo matrafic alifanya hivyo Ila abiria walikuwa wakali mpaka wakaenda kuwaita matrafic ndipo ...
Comments
Post a Comment