YOUNG AFRICA VS MARUMO GALLANTS
Je unafikiri yanga wanaweza kutoka pale kwa madiba kiurahisi na kutimba fainali kibabe ?
Fikiria hizi zinakuja vichwani mwa watu kutokana na yanga kushinda goli mbili kwenye uwanja wa nyumbani.
Kwa kiwango walichokionesha marumo GALLANTS nadhani yanga bado Wana wakati mgumu Sana kutimba fainali.
Karibu kuacha uchambuzi wako hapo kwenye komenti afu tusubirie dakika tisini.
Comments
Post a Comment