LIONEL MESSI
Leonel Messi ni mchezaji wa kimataifa wa timu ya Argentina alizaliwa mnamo June, 24,1987 kwa Sasa ni mchezaji wa PSG ya ujerumani akiwa ametimiza miaka 35.
MSHAHARA ANAOPOKEA MESSI
Messi ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa fedha nyingi sana. Kulingana na takwimu zinaonesha Messi analipwa 41 million USD ambazo ukizibadilisha kwenye hela ya kiTanzania unapata Sh96,104,000,000.00 kwa mwaka
IDADI YA MAGOLI ALOFUNGA MESSI MPAKA SASA
Messi akiwa Barcelona akifunga magoli 672
Akiwa PSG magoli 30
Argentina 102
Jumla 804
Comments
Post a Comment