ANDREW TATE MFAHAMU ZAIDI

 

 ANDREW TATE ni mpiganaji mstaafu wa kickboxer, mfanya biashara.

Alizaliwa 1/12/1986 Ana utaifa wa nchi mbili ambazo ni marekani  na uingereza shughuli anazozifanya ni kuendesha vipindi vya televisheni, pamoja na masuala ya upiganaji wa kick boxer baba take anaitwa Emori tate.

                                KARIA YAKE KWENYE SANAA   YA UPIGANAJI

:Ana urefu wa futi 6 na nch 3

:Ana kilo 93

:Aina ya upiganaji anaotumia ni Orthodox

:Timu anayoitumikia inaitwa storm GYM



                                  REKODI ANAZOSHIKILIA

:Jumla ya napambani aliyopigana ni 85

:Huku alishinda mapambano 76

:Mapambano 23 alishinda kwa knock out

:Huku akipoteza mapambano 9 tu

                               REKODI YA MAPIGANO MCHANGANYIKO

:Amecheza jumla ya mapambano 3

:Alishinda mapambano 2

:Huku akipoteza 1

:Moja alishinda kwa knock out

: Na lingine alishinda kwa alama za majaji.

Tate alianza kufanaya mazoezi ya kickbox mwaka 2005 na kufikia mwaka 2009 alichukua taji



Aliteka hisia za watazamaji wa mchezo huo mwaka 2016 alipoonekana kwenye show ya big brothers ambapo alianza kuhamasisha mchezo wa kickboxer kwa kutoa mafunzo kwenye mitandao ya kiajamii pamoja na website .

29/12/2022 Tate wakiwa na Kama yake Tritsan walishikwa na polisi kwa kutuhumiwa kukutwa na wanawake wawili wote wanne pamoja na hao wanawake walikamatwa na polisi wakituhumiwa kusafirisha madawa ya kulevya pamoja na kuunda magenge ya uhalifu.  Pia polisi waliwatuhumu kwa kuwahusisha na kutengenezwa filamu za ngono kwaajili ya kupost mitandaoni.

https://0677602944.blogspot.com/2023/05/andrew-tate-mfahamu-zaidi.html?m=1

Comments

Popular posts from this blog

SAFARI NA VIKWAZO

USHINDE WA TANZANIA DHIDI YA GUINEA

WHAT IS INTERVIE, THINGS TO CONCIDER BEFORE AND DURIND INTERVIEW