Wapishi wa nyama nahitaji hayo hapo
- Nyama steki kilo 1
Viungo vya kulainishia nyama
- Paprika kijiko 1 cha chai
- Bizari nyembamba ½ kijiko cha chai
- Nutmeg ½ kijiko cha chai
- Giligilani ½ kijiko cha chai
- Mafuta vijiko 2 vya chakula
- Garam masala ½ kijiko cha chai
- Iliki ½ kijiko cha chai
- Pilipili ndefu 1
- Limao ½
- Kitunguu saumu 1, kimenywe na kupondwa
Mahitaji ya kupikia nyama
- Tangawizi kiasi
- Curry powder kiasi
- Bizari kiasi
- Giligilani nusu kijiko cha chai
- Vitunguu saumu 2
- Karoti 1
- Pilipili hoho 1
- Nyanya maji 4, ziwe zimeiva vizuri
- Garam masala ½ kijiko cha chai
- Chumvi ½ kijiko cha chai
Comments
Post a Comment