Leonel Messi ni mchezaji wa kimataifa wa timu ya Argentina alizaliwa mnamo June, 24,1987 kwa Sasa ni mchezaji wa PSG ya ujerumani akiwa ametimiza miaka 35. MSHAHARA ANAOPOKEA MESSI Messi ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa fedha nyingi sana. Kulingana na takwimu zinaonesha Messi analipwa 41 million USD ambazo ukizibadilisha kwenye hela ya kiTanzania unapata Sh96,104,000,000.00 kwa mwaka IDADI YA MAGOLI ALOFUNGA MESSI MPAKA SASA Messi akiwa Barcelona akifunga magoli 672 Akiwa PSG magoli 30 Argentina 102 Jumla 804