NJIA ZA KUONDOA UMASIKINI

 KUONDOA umasikini kwa njia ya kutoa elimu Bora. Elimu ndio njia kuu ya kuondoa umasikini kwani humpatia mtu njia au mikakati maalumu ya kuongeza kipato kwa kufanyaa biashara na kuendesha miundombinu mbalimbali.

2.ujasiriamali. kufanyaa biashara ndogo ndogo kulingana na mazingira ambayo mtu anaishi mfano kufuga wanyama Kama kuku, samaki na ng' ombe wa kisasa.

3. Kuunda vikundi maalumu vya mzunguko wa fedha mfano vikoba.  Vikundi hivi vinaweza vikawa vya watu watano na kuendelea juu ambavyo vinaovyoendeshwa kwa kuwapa mikopo wanakundi au wajasiriamali.

4. Kuhifadhi robo ya kipato unachopata (akiba). Akiba no suala muhimu sana kwenye Manisha ya mwanadamu kwani humuokoa mtu wakati wa shida. Kiasi Cha fedha utakachopata chukua robo yake au thelithi na uiweke Kama akiba.

5. Kilimo Bora na Cha kisasa.  Kilimo kinachozingatia matumizi Bora ya pembe jeo na viwatilifu mfano mbolea ambazo zimethibitishwa

6. Kuondoa utegemezi. Kuondoa utegemezi kwa watu wenye uwezo wa kiuchumi, makulmpuni na mashirika ya kutoa misaada ka WB na IMF

HOW TO MAKE MONEY FASTER

Comments

Popular posts from this blog

SAFARI NA VIKWAZO

USHINDE WA TANZANIA DHIDI YA GUINEA

WHAT IS INTERVIE, THINGS TO CONCIDER BEFORE AND DURIND INTERVIEW