HISTORIA YA MESSI


Jina lake kamili anaitwa Lionel Andreas Messi ni mchezaji wa kimataifa wa argentina alizaliwa June 24 1987 huko Rosalia argentina ni mchezaji anayeshikilia rekodi ya kubeba ballon Dior 7 ambapo ballon Dior ya kwanza alichukua mnamo 2009, 2012, 2015, 2019 na 2021 mnamo mwaka 2022 alikisaidia kikosi Cha agentina kuchukua kombe la dunia ambapo alihusika moja kwa moja kwa kufunga goli
MAISHA YA AWALI
Messi alianza kucheza mpira akiwa ni kijana mdogo Sana mwaka 1995 Newell's old boys kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuichezea mpira vilabu mbalimbali vilitaka kumsajili kijana huyo ambapo familia yake iliona mahali sahihi kwa kijana wao kucheza mpira ni pale uhispania katika club ya Barcelona ambapo alikuwa akicheza katika timu ya vijana wadogo amabapo alifunga magoli 21 katika michezo 14 ambapo uwezo wake huo ulimfanya achaguliwe kuchezea katiaka kikosi Cha kwanza Cha Barcalona akiwa na umri wa miaka 16 tu.


UCHEZAJI WAKE NDANI YA CLUB
mwaka 2004 mpaka 2005 alichezea katika timu ya vijana na alipofikisha miaka 17 Messi alikuwa mchezaji rasmi wa Barcelona ambapo alikuwa mfungaji Bora wa ligi ya laliga Messi alikuwa na urefu wa futi 5 na nchi 7 na uzito wake ukiwa ni 65kg akionekana mi mchezaji imara na mwenye uzani uliobalansi anapokuwa anaumiliki mpira uwanjani. Akiwa ni mchezaji asili anayetumia mguu wa kushoto mwenye Kasi akili na kucheza kwa mda mrefu bila kuchoka haraka pia uwezo wake mwingine ulionekana kwenye kutoa pasi za mwisho za magoli ambapo mwaka 2005 alishinda ligi ya club bingwa ulaya UCHEZAJI wake ulizidi kuimarika na kuboreka kadri siku zinavyozidi kwenda mpaka kufikia mwaka 2008 Messi alikuwa maarufu kwa namna ya UCHEZAJI wake ulivyokuwa wa kuvutia na wenye mafanikio zaidi. Ambapo mwaka 2008 alishinda ballion Dior ya kwanza akimshinda mpinzani wake mkubwa kutoka Manchester United Cristiano ronaldo kwa kura. Katika MSIMU wa 2008-2009 aliisadia club ya Barcelona kushinda mataji matatu muhimu ambayo kombe la laliga, Copa de america na club bingwa ulaya. Ambapo akifunga magoli 38 kwenye mechi 51 na MSIMU wa 2009-2010 alifunga magoli 31 ambapo alichukua kiatu Cha dhahabu MSIMU huo. Usikose itaendelea

Comments

Popular posts from this blog

SAFARI NA VIKWAZO

USHINDE WA TANZANIA DHIDI YA GUINEA

WHAT IS INTERVIE, THINGS TO CONCIDER BEFORE AND DURIND INTERVIEW