ronaldo. Kwa majina kamili anaitwa cristano Ronaldo dos Santos Aveiro ni mchezaji wa kimataifa wa ureno alizaliwa tarehe 5 mwezi wa pili 1985. Mi moja ya wachezaji Bora wachezaji Bora wa muda wote kulingana na rekodi za FIFA amechukua balon dior tano, kiatu Cha dhahabu Cha mchezaji Bora wa ulaya Mara nne, amechukua jumla ya mataji 32 ikijumuisha mataji Saba ya ligi pamoja na mataji matano ya klabu bingwa ulaya. TAKWIMU ZA RONALDO KWA NJIA YA JEDUWALI Cup TAARIFA BINAFSI :Jina kamili Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro :Tarehe ya kuzaliwa 5/2/1985 (miaka 38 kwa sasa) :Mahali alipozaliwa Funchal, Madeira, ureno :Urefu 1.87 m (6 ft 2 in) :Nafasi mshambuliaji :Timu anayoichezea kwa Sasa Al Nassr Number 7 :Karia yake kwenye mpira wa miguu 1992–1995 Andorinha 1995–1997 Nacional 1997–2002 Sportin...