Posts

Join to get money easly

  https://m.smart--retail.com/ht/Download0.html?channel=FR901&invitorCode=12231309&d=1 We are a professional vending machine service company engaged in terminal retail business. We have been authorized by ALDI and Kaufland in Germany for a long time. Please join us and have your own vending machine to earn high profits.

ANDREW TATE MFAHAMU ZAIDI

Image
   ANDREW TATE ni mpiganaji mstaafu wa kickboxer, mfanya biashara. Alizaliwa 1/12/1986 Ana utaifa wa nchi mbili ambazo ni marekani  na uingereza shughuli anazozifanya ni kuendesha vipindi vya televisheni, pamoja na masuala ya upiganaji wa kick boxer baba take anaitwa Emori tate.                                 KARIA YAKE KWENYE SANAA   YA UPIGANAJI :Ana urefu wa futi 6 na nch 3 :Ana kilo 93 :Aina ya upiganaji anaotumia ni Orthodox :Timu anayoitumikia inaitwa storm GYM                                   REKODI ANAZOSHIKILIA :Jumla ya napambani aliyopigana ni 85 :Huku alishinda mapambano 76 :Mapambano 23 alishinda kwa knock out :Huku akipoteza mapambano 9 tu                                REKODI YA MAPIGANO MCHANGANYIKO :Ame...

ROBOTI WA KIKE ANATISHIA UWEPO WA MAHUSIANO YA KIMAPENZI

Image
 Teknolojia inazidi kwenda Kasi Sana binadamu anazidi kugundua vitu vya kustaajabisha vingine unaweza ukasema ni vizuri na kwa upande mwingine unaweza ukasema ni vibaya. Jambo ambalo linawashtua wengi Sana ni kugunduliwa kwa roboti wa kike(mwanamke) ambapo atakuwa na sifa Kama za mwanamke zote baadhi ya sifa hizo ni kufanya mapenzi na mwanaume, kuwa na siku zake, kufanya kazi za nyumbani,  Roboti huyo anayetumia nishati ya umeme yaani chaji inayotokana na umeme wa kawaida pamoja na nishati ya jua. Watu wamekuwa na maoni mbalimbali kuhusu teknolojia hii. IDADI ya watu wengi wanasema teknolojia hiyo haifai kwani inakuja kupunguza thamani ya mwanamke endapo teknolojia hiyo itasambazwa utafanya baadhi ya watu wasioe kwa sababu ya roboti huyo amabaye anaonekana kuwa na sifa zinazokaribiana KUFANANA na za mwanamke. Wapo baadhi ya watu wachache wanaotetea kuwa teknolojia hiyo ni nzuri. Kundi hili linajumuisha Sana vijana ambao hawajaoa ambapo wanaona kuwa roboti huyo anaweza akaondoa...

HISTORIA NA WASIFU WA RONALDO

Image
ronaldo. Kwa majina kamili anaitwa cristano Ronaldo dos Santos Aveiro ni mchezaji wa kimataifa wa ureno alizaliwa tarehe 5 mwezi wa pili 1985. Mi moja ya wachezaji Bora wachezaji Bora wa muda wote kulingana na rekodi za FIFA amechukua balon dior tano, kiatu Cha dhahabu Cha mchezaji Bora wa ulaya Mara nne, amechukua jumla ya mataji 32 ikijumuisha mataji Saba ya ligi pamoja na mataji matano ya klabu bingwa ulaya.                      TAKWIMU ZA RONALDO KWA NJIA YA JEDUWALI Cup                                   TAARIFA BINAFSI :Jina kamili  Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro :Tarehe ya kuzaliwa 5/2/1985 (miaka 38 kwa sasa) :Mahali alipozaliwa Funchal, Madeira, ureno :Urefu 1.87 m (6 ft 2 in) :Nafasi mshambuliaji :Timu anayoichezea kwa Sasa Al Nassr Number 7 :Karia yake kwenye mpira wa miguu 1992–1995 Andorinha 1995–1997 Nacional 1997–2002 Sportin...

STORM SHADOW CRUISE FAHAMU KUHUSU BOMU HILI

Image
  Bomu hili lilianza kutengenezwa mwaka 1994 ndipo uvumbuzi wake ulianza ni moja ya mabomu yenye uwezo wa kiaina yake likiwa limetengenezwa huko uingereza. 

YOUNG AFRICA VS MARUMO GALLANTS

Image
  Je unafikiri yanga wanaweza  kutoka pale kwa madiba kiurahisi na kutimba fainali kibabe ?  Fikiria hizi zinakuja vichwani mwa watu kutokana na yanga kushinda goli mbili kwenye uwanja wa nyumbani. Kwa kiwango walichokionesha marumo GALLANTS nadhani yanga bado Wana wakati mgumu Sana kutimba fainali. Karibu kuacha uchambuzi wako hapo kwenye komenti afu tusubirie dakika tisini.

HISTORIA YA MESSI

Image
Jina lake kamili anaitwa Lionel Andreas Messi ni mchezaji wa kimataifa wa argentina alizaliwa June 24 1987 huko Rosalia argentina ni mchezaji anayeshikilia rekodi ya kubeba ballon Dior 7 ambapo ballon Dior ya kwanza alichukua mnamo 2009, 2012, 2015, 2019 na 2021 mnamo mwaka 2022 alikisaidia kikosi Cha agentina kuchukua kombe la dunia ambapo alihusika moja kwa moja kwa kufunga goli MAISHA YA AWALI Messi alianza kucheza mpira akiwa ni kijana mdogo Sana mwaka 1995 Newell's old boys kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuichezea mpira vilabu mbalimbali vilitaka kumsajili kijana huyo ambapo familia yake iliona mahali sahihi kwa kijana wao kucheza mpira ni pale uhispania katika club ya Barcelona ambapo alikuwa akicheza katika timu ya vijana wadogo amabapo alifunga magoli 21 katika michezo 14 ambapo uwezo wake huo ulimfanya achaguliwe kuchezea katiaka kikosi Cha kwanza Cha Barcalona akiwa na umri wa miaka 16 tu. UCHEZAJI WAKE NDANI YA CLUB mwaka 2004 mpaka 2005 alichezea katika timu ya vijana...