ANDREW TATE MFAHAMU ZAIDI

ANDREW TATE ni mpiganaji mstaafu wa kickboxer, mfanya biashara. Alizaliwa 1/12/1986 Ana utaifa wa nchi mbili ambazo ni marekani na uingereza shughuli anazozifanya ni kuendesha vipindi vya televisheni, pamoja na masuala ya upiganaji wa kick boxer baba take anaitwa Emori tate. KARIA YAKE KWENYE SANAA YA UPIGANAJI :Ana urefu wa futi 6 na nch 3 :Ana kilo 93 :Aina ya upiganaji anaotumia ni Orthodox :Timu anayoitumikia inaitwa storm GYM REKODI ANAZOSHIKILIA :Jumla ya napambani aliyopigana ni 85 :Huku alishinda mapambano 76 :Mapambano 23 alishinda kwa knock out :Huku akipoteza mapambano 9 tu REKODI YA MAPIGANO MCHANGANYIKO :Ame...