Posts

Showing posts from April, 2023

MWANAMKE ANAEYEDAIWA KUBAKWA NA TRUMPU AANZA KUTOA USHAHIDI

Image
  Raisi wa awamu iliyopita wa marekani Donald Trumpu anaendelea kukabiliwa na mashtaka mbalimbali mojawapo ya mashtaka yanayo mkabili ni pamoja na Hili la suala la ubakaji. Mwanamke E. Jean Carroll   siku ya jumatano alifika katika mahakama ya  New York akiwa anapeleka mashtaka katika mahakama hiyo ambapo anadai kuwa aliye kuwa raisi wa marekani Donald Trump alimbaka mwanamke huyo miongo mitatu iliyopita  katika chumba Cha kubadilishia nguo.  E. Jean Carroll anasema alibakwa na Donald Trump mnamo mwaka 1996. Alipofika katika mahakama alisema maneno haya kwa kumnukuu alisema hivi " nimefika hapa kwa sababu Donald Trump alinibaka. Na nilipoandika mashtaka kwa Mara ya kwanza alikataa na kusema ni uongo. Amedanganya na ameharibu heshima yangu nipo hapa kwaajili ya kuirudisha heshima nilipoteza" alisema mwanamke huyo. 

NJIA ZA KUONDOA UMASIKINI

  KUONDOA umasikini kwa njia ya kutoa elimu Bora.  Elimu ndio njia kuu ya kuondoa umasikini kwani humpatia mtu njia au mikakati maalumu ya kuongeza kipato kwa kufanyaa biashara na kuendesha miundombinu mbalimbali. 2.ujasiriamali.  kufanyaa biashara ndogo ndogo kulingana na mazingira ambayo mtu anaishi mfano kufuga wanyama Kama kuku, samaki na ng' ombe wa kisasa. 3. Kuunda vikundi maalumu vya mzunguko wa fedha mfano vikoba.   Vikundi hivi vinaweza vikawa vya watu watano na kuendelea juu ambavyo vinaovyoendeshwa kwa kuwapa mikopo wanakundi au wajasiriamali. 4. Kuhifadhi robo ya kipato unachopata (akiba).  Akiba no suala muhimu sana kwenye Manisha ya mwanadamu kwani humuokoa mtu wakati wa shida. Kiasi Cha fedha utakachopata chukua robo yake au thelithi na uiweke Kama akiba. 5. Kilimo Bora na Cha kisasa.   Kilimo kinachozingatia matumizi Bora ya pembe jeo na viwatilifu mfano mbolea ambazo zimethibitishwa 6. Kuondoa utegemezi.  Kuondoa utegemezi k...

LIONEL MESSI

Image
    Leonel Messi ni mchezaji wa kimataifa wa timu ya Argentina  alizaliwa mnamo June, 24,1987 kwa Sasa ni mchezaji wa PSG ya ujerumani akiwa ametimiza miaka 35. MSHAHARA ANAOPOKEA MESSI Messi ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa fedha nyingi sana. Kulingana na takwimu zinaonesha Messi analipwa 41 million USD ambazo ukizibadilisha kwenye hela ya kiTanzania unapata Sh96,104,000,000.00 kwa mwaka  IDADI YA MAGOLI ALOFUNGA MESSI MPAKA SASA Messi akiwa Barcelona akifunga magoli 672 Akiwa PSG magoli 30 Argentina 102 Jumla 804

SIMBA YAIFUNGA IHEFU

Image
    Timu ya Simba Jana tarehe  7 imeifunga timu ya Ihefu kutoka kule mbarali mbeya ambaopo Simba iliifunga Ihefu magoli manner kwa moja(Simba 4- Ihefu 1).          Simba iliutawala mchezo katika kipindi Cha kwanza mpaka kufikia dakika 45 za kwanza Simba ili kuwa imeshafunga magoli yote manne na kuibuka kidedea katika kipindi Cha kwanza tu.          Magoli ya Simba yamefungwa na Baleke huku la nne likiwekwa kimiani na Saido Ntibazokiza, ambapo Baleke akifunga hatriki na kupewa mpira.        Kwa taarifa zaidi fuata linki hii   Ali sadick dachi get money here  ambapo utapata taarifa zote muhimu za michezo. Pia kwa wale wanaohitaji kujiunga kwenye timu yangu ya kujipatia less mtandaoni ukijisajili tu unalipwa 800 hapohapo fuata linki hii na ujisajili haraka nafasi ni chache https://m.smart--retail.com/ht/Download0.html?channel=FR901&invitorCode=12231309&d=1   Timu ya Simba J...