Wapishi wa nyama nahitaji hayo hapo
Nyama steki kilo 1 Viungo vya kulainishia nyama Paprika kijiko 1 cha chai Bizari nyembamba ½ kijiko cha chai Nutmeg ½ kijiko cha chai Giligilani ½ kijiko cha chai Mafuta vijiko 2 vya chakula Garam masala ½ kijiko cha chai Iliki ½ kijiko cha chai Pilipili ndefu 1 Limao ½ Kitunguu saumu 1, kimenywe na kupondwa Mahitaji ya kupikia nyama Tangawizi kiasi Curry powder kiasi Bizari kiasi Giligilani nusu kijiko cha chai Vitunguu saumu 2 Karoti 1 Pilipili hoho 1 Nyanya maji 4, ziwe zimeiva vizuri Garam masala ½ kijiko cha chai Chumvi ½ kijiko cha chai