SAFARI NA VIKWAZO
Safari ni hali ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa madhumuni ya kutimiza au kufanya Jambo Fulani.
Siku moja nilisafiri kutoka iringa Hadi dar es salaam Safari ilianza saa moja na nusu asubuhi siku hiyo wasafiri walikuwa wengi Sana kiasi kwamba waliochelewa kukata mapema tiketi walikosa usafiri mi nilipo panda tu kwenye Basi nikaona nijichukue kaklipu kidogo "Mana picha ni kumbukumbu yenye kubeba uhalisia mwingi" nilichikua video hii hapa👇
Usisahau kunifollow face book gusa hapa 👉https://www.facebook.com/profile.php?id=100075891472064
YouTube gusa hapa👉https://www.youtubehttps://www.youtube.com/@Alisadickdachi
Instagram 👉https://www.instagram.com/alisadickdachi?igsh=MWt2MzUwOWpkZG96dA==
<script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-6495308952832439"
crossorigin="anonymous"></script><script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-6495308952832439" crossorigin="anonymous"></script>
Comments
Post a Comment